Sunday, June 17, 2012

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU ATUMA UJUMBE WA KUAGA FACEBOOK KISHA AJINYONGA!DAAH...

Ama kweli Facebook imeleta mambo duniani! Yaani mtu unataka kujiua unakumbuka kwamba kuna Facebook,unaingia,una-Log in,unatuma Post then Una-Log out,unaenda unajiua!Hii ni kali ya Mwaka!

Mwanafunzi huyu,mpaka sasa haieleweki nini hasa ni chanzo kilichosababisha exactly ajiue lakini kuna element kwamba kuna shida flani aliipata akiwa chuoni na kuna maneno yalisemwa dhid yake na hakuyapenda,akaamua kufikia uamuzi wa kuukatisha uhai wake kwa Kamba kwenye mti wa Mwembe kijijini kwao,Ipaja mjini Lagos!

Jina lake kamili ni Ayodeji Balogun,Mwanafunzi wa Chuo Kikuu kinachoitwa National Open University mjini Lagos ambacho ni equivalent na Open University of Tanzania (OUT),kwa hapa kwetu.

HUYU NDO JAMAA MWENYEWE ALIYESUSIA UHAI WAKE KISA AMESEMWA CHUONI..MKUBWA KWELI ILA DAH Kinachonishangaza mimi sio uamuzi wake wa kujiua...Watu wengi wanajiua kwa sababu mbalimbali,ILA,style yake ya kujiua... Yaani kweli unajiua unakumbuka Kupost Status,Facebook...Whats on your Mind??/Unaandika Goodbye to you all mi najiua,duh,kweli Izraili mtoa roho nae ameanza kupenda teknolojia. CHEKI STATUS ALIYOPOST JIONI YA JANA KABLA HAJAJITOA ROHO KWENYE MTI WA MWEMBE! MSOMI KABISAAA WA CHUO KIKUU!

No comments:

Post a Comment