Monday, May 14, 2012

HAPPPY MAMAS DAY...hongereni sana wakinamama...

mama ni mtu muhimu sana katika maisha yetu kama angeweza kuhesabu malezi na matunzo yote tangu utoto mpaka sasa u cant pay even for wat!!!i mic ma mum..na namshukuru sana kwakuwa alinifundisha maadili,kupenda na kujua dhamani ya mtu yeyote duniani...we real mic u mum ingawa haupo nasi tena but we still love u mum,,,said by all the family of maletho i,ken, jerry,nova,mage,lily,jack,her little twin my lovely baby gal adelyn{kajuku} and the big  dady mzee maletho... REST IN PEACE MUM!!!!

No comments:

Post a Comment