Monday, May 7, 2012
matendo ya ujambazi,wizi na uporaji katika nyumba za wanafunzi wanazoishi a.k.a hostel umezidi kukua kwa kasi katika maeneo ya sweya,uzunguni,mitaa ya kwa masha and around malimbe area katika chuo cha SAUT mjini mwaza na wanazengo wametangaza hali ya hatari baada ya mmoja wa mwizi aliye kamatwa na kupigwa kibiriti mitaa flani..mjin malimbe..hvyo wanachuo a.k.a students stay aware usije ukapotea. but kaimu kamanda polisi wa mwanza kaahidi kuzibiti hayo matukio ya uwizi...lets check for more newz after i having a conversation with R.P.C wa mjini mwanza mr BALO next week!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment