WAZIRI MEMBE KUYASHITAKI MAGAZETI YA MWANANCHI NA TANZANIA DAIMA
Wakili wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Benard Membe, Joseph Tadayo, akizungunza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu hatua iliyochukuliwa na Waziri huyo ya kuandika barua ya masaa 48 kwa Kampuni zinazochapisha gazeti la Mwananchi na Tanzania Daima, akizitaka kampuni hizo kujieleza na kuomba radhi ndani ya masaa hayo kutokana na kuandika habari za mauaji ya Arusha ambazo zimemkoti akililaani Jeshi la Polisi kwa mauaji hayo jambo ambalo limedaiwa kuwa si kweli na hakuwahi kuzungumzia jambo hilo.
Copy ya gazeti la Mwananchi la Tarehe 12 Januari
DEFAMATORY PUBLICATION AGAINST OUR CLIENT HON. BENARD MEMBE (MP) MINISTER FOR FOREING AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION
No comments:
Post a Comment