Sexy Songstress kutoka Barbados, Rihanna, amelazwa hospitali juzi kushinda jana kufuatia kuugua ‘Flu’ pamoja na mwili kutopata muda wa kupumzika.
Mwimbaji huyo aliachia picha yake ya mkono ukiwa umetundikwa drip akiwa hospitali,baada ya mashabiki wake kuona yuko kimya sana kwenye Twitter ambapo tumemzoea kuachia message kila muda.
Waliokaribu na muimbaji huyo wamesema kwamba Rihanna siku hizi anaparty mwendo wa kila siku na kunywa pombe na kusmoke mjani kupindukia na wamemshauri besti wao aende hospitali wakamsaidie apunguze tabia hiyo kwani mwili wake hauwezi kuhimili.
Tunamuombea Rihanna Safe Recovery.
No comments:
Post a Comment