Tuesday, June 19, 2012

MBUNGE WA UBUNGO...John Mnyika atolewa nje mbugeni leo..

KATIKA BUNGE LA BAJETI 2012/2013 katika mkutano wa nane katika hoja za serikali....
leo tarehe 19/6/2012 saa 12:00 mbunge wa ubungo john mnyika katika kuchangai maada alitoa kauli ya kusema "UDHAIFU WA RAIS KIKWETE", "UPUUZI NA UPUMBAVU WA WABUNGE/ NA WA CCM"katika kutoa hujo naibu spika aka muomba afute hyo kauli ila akasema hatoweza kufuta kwa kuwa anahoja ya kutete kuhusu hlo ila haikutosha waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu akismama na kusoma kifungu cha sheria ya bunge kuhusu maneno yaliyosemwa na john mnyika...ALL AT ALL mh mnyika akasimama na kusema kwel kauli yangu sitoi..ila naibu spika akasimama na kufuata sheria na kumtoa katika kikao cha bunge cha leo mpaka kesho saa tatu!!!
DAH....KWEL BUNGE LA SASA......NDIO BUNGE...TUPIA COMMENT IS IT RIGHT???

No comments:

Post a Comment