Sunday, June 17, 2012
Baada ya Kuachana na Tip Top Dogo Janja Aanza kupata Shows.....
Baada ya Dogo Janja kuachana na Tip top na kuamua kurudi kwa Arusha sasa aanza kupata deals akiwa kama yeye mwenyewe ...Dogo Janja kusindikiza uzinduzi wa Super 5 Airtell Arusha , kwenye picha hapo juu akiwa ndani ya studio ya MJ Redio na Manager Uhusuiano wa Airtell Jacksom Mbando na Michuzi JR Pamoja na Erick Manager wa Mambo Jambo Redio..safi dogo........carry on!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment