HAPPY CHILD DAY....hongereni sana watoto.....!!!
KAQUEEN KATIKA SIKU YA LEO YA WATOTO.....
Leo tarehe moja mwezi wa sita...huwatuna hazimisha siku ya watoto duniani.Tuna tambua sana kuwa kila binadamu aliye katika hali ya ukubwa(UTU UZIMA)amepitia stage ya UTOTO....hvyo basi wote kwa ujumla tuungane na watoto wetu kama huna hata mdogo wako au mtoto yeyote mpe nafasi leo afurahie siku yake. Na queen wa siku ya watoto leo ni kirembo changu kipenzi,kamama changu na rafiki yangu mpenz ADELINE MALETHO...she is everything for me i will alwayz love u ma queen!!!!
ade na baba yake!!!
No comments:
Post a Comment